Karibu katika huduma ya neno la Mungu ambapo tutajifunza mambo mengi ya kiroho kwa msaada wa roho mtakatifu maana mungu yeye mwenye ametuahidi kuwa atatufanya watumishi wake pale tunapokuwa na utayari wa kutumika sambamba na neno la mungu kutoka isaya 49:6 na isaya 601-5 ambapo neno la Mungu linatuasa kuinuka na kuyaangazia mataifa nuru ya bwana ndipo Mungu atawabariki
Nehemiahollyservice
0
Comments
Post a Comment